TANZANIA
Bara, Kilimanjaro Stars
imefuzu kuingia Robo
Fainali ya michuano ya
CECAFA Challenge, baada ya
kuilaza Burundi mabao 7-0
katika mchezo
uliofanyikakwenye Uwanja
wa Lugogo mjini hapa.
Matokeo hayo yanaifanya Bara
itimize pointi sita baada ya
kucheza mechi tatu na sasa,
wakishinda mbili na kufungwa
moja.
Stars, inayodhaminiwa na
Kilimanjaro Premium Lager
leo ilionyesha kandanda safi
na kusisimua mashabiki wa
Tanzania waliokuja kuoiunga
mkono hapa, akiwemo
Mbunge wa Kondoa Kaskazini,
Alhaj Juma Nkamia.
Iliwachukua sekunde 48 tu
Stars kupata bao la kwanza,
kupitia kwa mshambuliaji wa
Simba SC, inayodhaminiwa na
Kilimanjaro Premum Lager
pia, Mrisho Khlfan Ngassa
aliyewazidi ujanja mabeki wa
Somalia.
Kabla hawajakaa vizuri,
Somalia walipachikwa bao la
pili, dakika ya 23 lililofungwa
na Ngassa tena, aliyeunganisha
kona nzuri ya Issa na Rashid.
John Bocco 'Adebayor' alifunga
bao la tatu katika mchezo wa
leo na la tatu kwake katika
mashindano haya dakika ya 26
akiunganisha kwa kichwa
krosi ya Issa Rashid kutoka
wingi ya kushoto.
Bocco
tena aliwainua vitini
mashabiki wa Tanzania kwa
kufunga bao la nne kwa
kichwa, akiunganisha krosi ya
Ngassa dakika ya 41.
Ngassa alifunga bao la tatu
katika mchezo wa leo dakika
ya 44 na la tano kwa Stars
baada ya kuuwahi mpira
uliotemwa na kipa Hussein
Abdallah kufuatia shuti kali la
Salum Abubakar 'Sure Boy Jr.'
Somalia ilipata pigo dakika ya
30, baada ya kipa wake namba
moja, Mohamed Abdullah
kuumia baada ya kugongana
na Bocco na kutoka, nafasi
yake ikichukuliwa na Hussein
Abdallah.
Kipindi cha pili Stars walirejea
na moto wao na tena na
kufanikiwa kupata mabao
mawili zaidi yaliyotiwa
kimiani na Ngassa yote dakika
za 73 pasi ya Erasto Nyoni na
74 pasi ya Ramadhani Sinago
'Messi'.
Kwa kufunga mabao matano,
Ngassa sasa ameingia kwenye
mbio za kaiti cha dhahabu
akikwa anaongoza, akifuatiwa
na Bocco ambaye ana manne
hivi sasa.
Kocha wa Stars, Mdenmark
Kim Pouslen baada ya mchezo
huo, alisema aliwapongeza
vijana wake kwamba
wamejitahidi kucheza vizuri
na akasifu pia hali nzuri ya
Uwanja wa Lugogo kuwa
ilichangia ushindi huo.
Sunday, December 2, 2012
IVI NDIVYO TANZANIA ILIVYO IFUNDISHA MPIRA BURUDI...
LA LIGA NEWS:
Barcelona beat Athletic
Bilbao 5-1 in their Primera
Division match at the Camp
Nou in Barcelona.
Barcelona's goals were scored
by Piqué (22'), Messi (25', 70'),
Adriano (45') and Fábregas
(57') and Athletic Bilbao's
goalscorer was Gomez (65').
Barcelona's starting line-up
was Valdés, Mascherano,
Piqué, Alba, Adriano, Busquets,
Fábregas, Xavi, Iniesta, Messi
and Pedro while Athletic
Bilbao lined up with Iraizoz,
Amorebieta, Ekiza, Aurtenetxe,
Ramalho, Iturraspe, Herrera,
de Marcos, Gomez, Aduriz and
Susaeta.
Real Madrid beat Atletico
Madrid 2-0 in their Primera
Division match at the
Estadio Santiago Bernabéu
in Madrid.
Real Madrid's goals were
scored by Ronaldo (16') and
Özil (66'). Real Madrid's
starting line-up was Casillas,
Ramos, Pepe, Coentrão,
Arbeloa, Alonso, Khedira,
Ronaldo, Di María, Benzema
and Özil while Atletico Madrid
lined up with Courtois, Godín,
Miranda, Díaz, Juanfran,
Suárez, Gabi, Turan, Koke,
Falcao and Da Silva Costa.