WORLD CUP QUALIFYING PREVIEW: USIKOSE MECHI HIZI IJUMAA NA JUMANNE!!
Leo ijumaa zipo
 Mechi 36 ndani ya masaa 24, Ni Mechi za Mchujo kwa Kanda ya Ulaya
 kuwania kutinga Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2014 huko Brazil, 
lakini ni Mechi 3 ambazo ndizo zimejitokeza kuwa ndizo za mvuto na, 
pengine, zitakuwa tamu.
HIZI NDO MECHI TATU KALI ZITAKAZO FANYA WIKEND YAKO IANZE VYEMA
-  18:00 Russia v Portugal 
 
- 21:45 Rep of Ireland v Germany 
 
- 22:00 England v San Marino
 
 
1. Russia VS Portugal 
Mechi
 hii itachezwa Leo Ijumaa Oktoba 12 kuanzia Saa 12 Jioni saa za Bongo na ni 
Mechi ya Kundi F inayozikutanisha Timu ambazo zimeshinda Mechi zao zote 
mbili za kwanza.
MSIMAMO
Baada ya kutofanya vyema kwenye EURO 
2012, Russia ikambadili Kocha Guus Hiddink na kumweka aliekuwa Kocha wa 
England, Fabio Capello, ambae katika Mechi ya mwisho aliingoza Russia 
kuinyuka Israel 4-0 ugenini.
Portugal, chini ya Kocha Paulo Bento, ni
 Timu imara na yenye mvuto huku kilingeni ikiongozwa na Supastaa 
Cristiano Ronaldo ambae, pengine, huenda akaikosa Mechi hii baada ya 
Jumapili iliyopita kujiumiza bega wakati Klabu yake Real Madrid 
 ilipotoka 2-2 na Barcelona.
2 England v San Marino
Chakukufanya uicheki mechi hii ni ni baada ya Meneja wa timu ya taifa ya Uingereza Roy Hodgson kumteua mchezaji 
mshambuliaji wa Manchester united WAYNE  ROONEY kuwa naodha katika mchezo wao wa leo wa kuwania kufuzu nafasi katika kombe la Dunia  
litakalo fanyika nchini Brazil mwaka 2014,kocha huyo ameamua kumteua 
ROONEY 
kwakuwa
 nahodha mkuu Steven Gerrad ambayeamesimamishw kwa michezo kazaa na 
nahodha msaidizi Frank Lampad hawata wai mechi iyo kutokana na majera ya
 goti waliyo yapata,Rooney apo awali alishawahi kuingoza timu iyo kwa 
kipindi kifupi ambacho England ilicheza na Brazil walipofungwa akiwakama
 nahodha pia ikumbukwe kuwa Rooney toka apewe unahodha Engand haijawi 
kushinda mechi hata moja na kama watashinda basi itakuwa ni mara ya 
kwanza kwa Rooney na nahodha Steven Gerrad anatarajiwa kurudi katika 
game yao na Poland.
 
NA SIKU YA JUMANNE SASA FANYA YOTE ILA HII SIO YAKUIKOSA 
 
1. Spain vs France
 
Ndani ya Uwanja wa Vicente Calderon 
Jijini Madrid, Mabingwa wa Ulaya na Dunia, Spain, watawakaribisha France
 katika Mechi ya Kundi I ambalo Mabingwa hao wamecheza Mechi moja tu 
walipowafunga Georgia bao 1-0 kwa bao la lala salama la Roberto Soldado.
MSIMAMO
 
France, chini ya Kocha wao Didier 
Deschamps, wapo juu kwenye Kundi hili baada ya kushinda Mechi zao zote 
mbili za kwanza dhidi ya Finland na Belarus.
Mara ya mwisho Timu hizi kukutana 
ilikuwa kwenye EURO 2012 kwenye Robo Fainali na France kuendeshwa 
mchakamchaka na kunyukwa bao 2-0 kwa bao za Xabi Alonso.
Poland vs England
 
Kwa Poland, Straika Robert Lewandowski, anaechezea Klabu ya Germany Borussia Dortmund, ndie ufunguo wa mafanikio yao.
England, safari hii, itaingia bila 
mkongwe wao John Terry alietangaza kustaafu baada ya kuandamwa kwa 
kashfa ya ubaguzi na kuadhibiwa kwa hilo na pia huenda itamkosa mkongwe 
mwengine mwenzake Terry huko Chelsea, Frank Lampard, ambae ana maumivu ila steven Gerrad anategemea kurud kwenye mechi hii..
RATIBA KAMILI YA MECHI ZOTE HII HAPA
ULAYA-Mechi za Makundi Kombe la Dunia 2014
[Saa za Bongo]
Ijumaa Oktoba 12
18:00 Russia v Portugal
18:30 Finland v Georgia
19:00 Armenia v Italy
19:00 Faroe Islands v Sweden
19:00 Kazakhstan v Austria
20:00 Albania v Iceland
20:00 Czech Republic v Malta
20:30 Liechtenstein v Lithuania
20:30 Turkey v Romania
21:00 Belarus v Spain
21:00 Bulgaria v Denmark
21:00 Moldova v Ukraine
21:15 Slovakia v Latvia
21:30 Estonia v Hungary
21:30 Netherlands v Andorra
21:30 Serbia v Belgium
21:45 Greece v Bosnia-Hercegovina
21:45 Rep of Ireland v Germany
21:45 Wales v Scotland
22:00 England v San Marino
22:00 Luxembourg v Israel
22:30 Macedonia v Croatia
22:30 Switzerland v Norway
22:45 Slovenia v Cyprus
Jumanne Oktoba 16
Albania v Slovenia
Andorra v Estonia
Belarus v Georgia
Belgium v Scotland
Bosnia-Hercegovina v Lithuania
Czech Republic v Bulgaria
Hungary v Turkey
Iceland v Switzerland
Israel v Luxembourg
Latvia v Liechtenstein
Macedonia v Serbia
Portugal v Northern Ireland
Romania v Netherlands
Russia v Azerbaijan
San Marino v Moldova
Slovakia v Greece
Spain v France
Ukraine v Montenegro
2000 Cyprus v Norway
2100 Faroe Islands v Rep of Ireland
2130 Austria v Kazakhstan
2130 Croatia v Wales
2145 Germany v Sweden
2145 Italy v Denmark
2200 Poland v England
FAHAMU: 
-ULAYA yapo Makundi 9
***Washindi 9 wa kila Kundi 
wataingia Fainali moja kwa moja na Washindi wa Pili 8 bora wenye rekodi 
nzuri dhidi ya Timu zilizomaliza nafasi za Kwanza, Tatu, Nne na Tano 
kwenye Kundi lao watapelekwa kwenye Droo kupanga Mechi 4 za Mchujo, 
zitakazochezwa nyumbani na ugenini, ili kupata Timu nne zitakazoingia 
Fainali.***