Wasanii hawa wawili wa Marekani ambao kiukweli kila
mmoja anafanya vizuri katika game la muziki dunian. Ila leo hii asubuhi nchini marekani limetokea bifu kali kati yao ni baada wanamziki French montana kufunguka kuhusiana na kazi za mtu mzima 50
cent katika game la muziki.French montana baada ya kuhojiwa leo katika
kituo cha radio nchini Marekani alifunguka na kusema kwamba 50 cent ameshuka ki muziki baada ya ile beef ambayo iliyokuwa kati yake na mtu mzima Rozay.Lakini
French akuishia tu hapo kwani alisema kwamba beef hii ndiyo imemfanya
50 cent kukosa mashabiki wengi na mshabiki wengine kuamia kwa mtu mzima
Rozay. French aliendelea kufunguka juu ya 50 cent na kusema Miaka michache iliyopita 50 Cent alikuwa akiuuza copi Milioni 10 kwa
kila Album yake lakini kwa sasa hawezi kuuza hata copi million moja.
Baada ya 50 cent kusikia maneno ya French Montana ,50 aliamua kuingia twitter
na kuanza kumchana live French na hivi ndo alivyokua akitweet..
No comments:
Post a Comment