Saturday, October 27, 2012

HIVI NDO JINSI SIKUKU EID ILIVYOO SHEHEREKEWA

1. Kitaa watu hawakuwacha sunna za kuchinja kila mtu alikua anachinja kama sio kondoo bas mbuzi..

2.Huku Rais akilia sikuku ya eid kwao huko chalinze

3.Zanzibar napo rais Dr Ali Mohamed
Shein alikula Eid- El -Hajj kwenye Baraza la eid lilofanyika
Bwawani Hotel in Zanzibar

4.Huku kunawengine wesherekea sikuku hospital   na baadh ya waumin wa kiislam wanaoishi Kariakoo,
Dar es Salaam walitoa msaada wa chakula na vitu vingime vidogo vidogo katika hospital ya
Ocean Road Cancer Institute
(ORCI), yote haya ili kila muislam apate kua na furaha siku hii ya Eid-el-Hajj.

5.Na kunawengine wali sherekea sikuku hii ya Eid wakiwa wamefungwa gerezani kwa kuipigania din yao.

No comments:

Post a Comment