Tuesday, October 9, 2012

MLIO MISS KUMUONA MISS REDD'S PHOTOGENIC 2012 HUYU HAPA

NI ANAITWA LUCY SPEPHANO MSHIRIKI NO 4 KUTOKA MANYARA-KANDA YA KASKAZINI HUYU NDIYE MISS REDS PHOTOGENIC 2012.
MKURUGEZI WA KAMPUNI YA RINO AGENCY NA MUANDAANI MKUU WA MASHINDANO YA MISS TANZANIA, HASHIMU LUNDENGA AKITANGANZA MSHINDI WA REDD'S MISS PHOTOGENIC AMBAYE NI MSHIRIK NO.4 KUTOKEA MANYARA-KANDA YA KASKAZIN LUCY SPEPHANO (KATIKATI) KATKA HALFA YA SHINDANO ILIYOFANYIKA JANA USIKU KWENYE UKUMBI WA HOTEL YA E'MANYARA,MONDULI JIJINI ARUSHA
TOP FIVE YA MISS REDD'S MISS PHOTOGENIC..kutoka kulia Magdalena Roy (mshirik no.6,kutoka Dar city Center-kanda ya ilala,Babylove Kalala(mshiriki no.9,kutoka Kagera-Kanda ya Ziwa),Lightnes Michael(mshiriki no.5,kutoka Dodom-Kanda ya Kati), Lucy Stephano (mshiriki no.4 kutoka Manyara-Kanda ya Kaskazini) na wa mwisho ni Diana Hussein (mshiriki no.20, kutoka Dar Indian Ocean-Kanda ya Kinondoni



No comments:

Post a Comment