WAREMBO WA REDD’S MISS TANZANIA 2012 WAKUTANA NA MH. LOWASSA MONDULI.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akizungumza na Warembo wanaowania Taji la Redd’s Miss Tanzania 2012
waliofika nyumbani kwake Monduli leo na kupata wasaa kwa kuzungumza nae
mambo mawili matatu juu ya mafanikio ya Mashindano hayo na Maendeleo ya
Taifa letu kwa ujumla.
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina
Lowassa wakiwa kenye picha ya pamoja na Warembo wanaowania Taji la
Redd’s Miss Tanzania 2012 pamoja na Viongozi wa Kamati ya Miss
Tanzania.(Picha Zote kwa Hisani ya Intellectuals Communications
Limited).
No comments:
Post a Comment