Wednesday, November 7, 2012

HIV NDIVYO SEMA DONALD TRUMP KUHUSU UCHAGUZ WA MAREKANI NA KUCHAGULIWA KWA RAIS OBAMA

Mda mfupi baada ya kutangazwa kua  Barack
Obama ndio mshind wa uchanguzi wa rais wamerekeni wa mwaka 2012, Donald Trump alijikuta akibwatuka maneno haya kwenye Twitter.
Akionesha amekasiriswa na democrasia ya Marekani na kutaka watu waingie vitani kufanya mapunduzi na kusema  "the Electoral College should get out of town and called for a revolution."
Ingawa Trump yupo sahihi kusema chochote kwasababu yakuwa na freedom of speech na kuandika chochote anachotaka kwenye mitandao ya jamiii.

No comments:

Post a Comment