JINSI JK ALIVYOITEKA ARUSHA.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa \Wilaya ya Arusha Mhe John
Mongella kuzindua ujenzi wa barabara za jiji la Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari katika
hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa barabara za jiji la Arusha.(PICHA NA
IKULU).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari katika hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa barabara za jiji la Arusha.(PICHA NA IKULU).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari katika hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa barabara za jiji la Arusha.(PICHA NA IKULU).
No comments:
Post a Comment