HUYU NDO BARACK OBAMA NA VIJISENT VYAKE NI KAMA BILIONI 17 NA USHEE.
Mpaka
 kufikia mwaka 2012 rais huyo wa Marekani alikuwa na utajiri wa Dola za 
Marekani Milioni 11.8. Sawa na zaidi ya Bilioni 17 za Kitanzania
 Vyanzo ya Mapato hayo ni kupitia Vitabu na Siasa.
Mshahara ni dola 400,000 kwa mwaka sawa na Milioni 624 za Kitanzania
Obama ni Rais wa 44 wa Marekani, Mtunzi wa Vitabu na Mtu maarufu zaidi duniani.
Alipokea fedha ya Nishani ya Nobel dola Milioni 1.4 na kuzikabidhi kwenye shughuli za kijamii.
Uamuzi
 wake wa Kihistoria wa kugombea urais ulimsaidia kuuza mamilioni ya 
nakala ya Kitabu chake cha “Dreams of My Father and The Audacity of Hope
 wakati wa kampeni.
Aliuza nakala nyingine 100,000 katika wikialiyochaguliwa.
Mwaka
 2009 alipokea advance ya kitabu chake kilichohaririwa cha “Dreams for 
young adults” mkataba uliomfanya kuwa rais wa kwanza aliyeko madarakani 
kupokea advance ya vitabu.
Mshara
 kamili wa Obama ni dola 400,000 kwa mwaka, lakini pia pia anaweza 
kutumia akaunti ya matumizi ya dola 150,000 sambamba akaunti isiyokatwa 
kodi kwa ajili ya kusafiri ya dola 100,000 na bajeti ya burudani ya dola
 20,000.
Obama
 alikuwa Seneta wa Jimbo la Illinois kwa mihula mitatu na kuwa mtu wa 
kwanza mwenye Asili ya African American kuwa rais wa Marekani.
Barack
 Obama alizaliwa August 4, 1961 huko Honolulu, Hawaii, na Mhitimu wa 
Chuo Kikuu cha Columbia na Shule ya Sheria ya Harvard.



No comments:
Post a Comment