Thursday, October 11, 2012

NGUZO ZA TANESCO ZAFICHULIWA KIGAMBONI

(Picha kwa hisani ya www.issamichuzi.blogspot.com)
HIVI NDO JINSI WATU WASIO WAAMINIFU WANAVYOFANYA HUJUMA KATIKA SHIRIKA LETU LA TANESCO. NA HIZO NDO NGUZO ZILIZO IBWA NA KUFICHWA MAENEO YA KIGAMBONI, DAR ES SALAAM NA KUFICHULIWA NA BAADHI YA WAFANYAKAZ WA TANESCO.

No comments:

Post a Comment