Tuesday, October 9, 2012

JANET JACKSON ABADILI DINI

 KAMA ULIKUWA HUJUI BASI YULE MWANAMZIKI MASHUHURI KWA MIZIKI YA POPS JANET JACKSON MWENYE UMRI WA MIAKA 46 AMBAYE NI DADA WA MAREHEMU MICHAEL JACKSON NA ALIYEKUWA MPENZI WA PRODUCER JERMAIN DUPRI MKAMEKUBA KUBADILI DINI KUWA MUHISLAMU KAMA UNAVYO MUONA HAPO KATUPIA KITU CHA BAIBUI PALE KATI, INASEMEKANA KUA AMEBADILI DINI KISA ANATAKA KUOLEWA NA BILIONEA WA KIARABU AL MANA MWAKA 2013..hU-say-in-Update itaku Update zaid

No comments:

Post a Comment