AWAACHA WATU WAKIJIULIZA KUWA DIAMOND NI SHOGA NA WENGINE WAKISEMA NI ISHARA ZA FREEMASON.
Ni Jumamosi katika Show ya Serengeti Fiesta Diamond alionyesha kituko
ambacho baadhi ya watu hawakukichukulia vizuri, Hii ilikuwa baada ya Show
ya Rick Ross Diamond Alipanda na Wachezo Show Wake na kutoa Show kali
ambapo katika hiyo Show yeye na Madansa wake waliamua kuvua Suruali zao
na kuonyesha Boxer zao kama inavyoonyesha hapo kwenye Picha.Kwa kudai
kuwa wao ni wasafi mpaka ndani..
Daah hii kalii....
ReplyDelete