LEO ASUBUHI MH RAIS KIKWETE ALIMUAPISHA MKUU MPYA WA MAGEREZA PALE IKULU
Huyu ndo Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza
nchini, Kamishna Jenerali John Casmiri Minja akila kiapo mbele
ya Amiri Jeshi mkuu Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es
Salaam leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment