Friday, October 12, 2012

LEO HAKUNA KULALA BILA KUCHEKI MECH HIZ KALI

WORLD CUP QUALIFYING PREVIEW: USIKOSE MECHI HIZI IJUMAA NA JUMANNE!!

Leo ijumaa zipo Mechi 36 ndani ya masaa 24, Ni Mechi za Mchujo kwa Kanda ya Ulaya kuwania kutinga Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2014 huko Brazil, lakini ni Mechi 3 ambazo ndizo zimejitokeza kuwa ndizo za mvuto na, pengine, zitakuwa tamu.

HIZI NDO MECHI TATU KALI ZITAKAZO FANYA WIKEND YAKO IANZE VYEMA
  1.  18:00 Russia v Portugal 
  2. 21:45 Rep of Ireland v Germany 
  3. 22:00 England v San Marino
1. Russia VS Portugal


 
Mechi hii itachezwa Leo Ijumaa Oktoba 12 kuanzia Saa 12 Jioni saa za Bongo na ni Mechi ya Kundi F inayozikutanisha Timu ambazo zimeshinda Mechi zao zote mbili za kwanza.
MSIMAMO

Group F
TeamMPWDLGFGAPts
Russia2200606
Portugal2200516
Luxembourg2011231
Northern Ireland2011131
Azerbaijan2011141
Israel2011151

Baada ya kutofanya vyema kwenye EURO 2012, Russia ikambadili Kocha Guus Hiddink na kumweka aliekuwa Kocha wa England, Fabio Capello, ambae katika Mechi ya mwisho aliingoza Russia kuinyuka Israel 4-0 ugenini.
Portugal, chini ya Kocha Paulo Bento, ni Timu imara na yenye mvuto huku kilingeni ikiongozwa na Supastaa Cristiano Ronaldo ambae, pengine, huenda akaikosa Mechi hii baada ya Jumapili iliyopita kujiumiza bega wakati Klabu yake Real Madrid  ilipotoka 2-2 na Barcelona.
2 England v San Marino
Chakukufanya uicheki mechi hii ni ni baada ya Meneja wa timu ya taifa ya Uingereza Roy Hodgson kumteua mchezaji mshambuliaji wa Manchester united WAYNE  ROONEY kuwa naodha katika mchezo wao wa leo wa kuwania kufuzu nafasi katika kombe la Dunia  litakalo fanyika nchini Brazil mwaka 2014,kocha huyo ameamua kumteua ROONEY  kwakuwa nahodha mkuu Steven Gerrad ambayeamesimamishw kwa michezo kazaa na nahodha msaidizi Frank Lampad hawata wai mechi iyo kutokana na majera ya goti waliyo yapata,Rooney apo awali alishawahi kuingoza timu iyo kwa kipindi kifupi ambacho England ilicheza na Brazil walipofungwa akiwakama nahodha pia ikumbukwe kuwa Rooney toka apewe unahodha Engand haijawi kushinda mechi hata moja na kama watashinda basi itakuwa ni mara ya kwanza kwa Rooney na nahodha Steven Gerrad anatarajiwa kurudi katika game yao na Poland.

NA SIKU YA JUMANNE SASA FANYA YOTE ILA HII SIO YAKUIKOSA

1. Spain vs France
Ndani ya Uwanja wa Vicente Calderon Jijini Madrid, Mabingwa wa Ulaya na Dunia, Spain, watawakaribisha France katika Mechi ya Kundi I ambalo Mabingwa hao wamecheza Mechi moja tu walipowafunga Georgia bao 1-0 kwa bao la lala salama la Roberto Soldado.

MSIMAMO
Group I
TeamMPWDLGFGAPts
France2200416
Spain1100103
Georgia2101113
Finland1001010
Belarus2002140
France, chini ya Kocha wao Didier Deschamps, wapo juu kwenye Kundi hili baada ya kushinda Mechi zao zote mbili za kwanza dhidi ya Finland na Belarus.
Mara ya mwisho Timu hizi kukutana ilikuwa kwenye EURO 2012 kwenye Robo Fainali na France kuendeshwa mchakamchaka na kunyukwa bao 2-0 kwa bao za Xabi Alonso.


Poland vs England



























































Kwa Poland, Straika Robert Lewandowski, anaechezea Klabu ya Germany Borussia Dortmund, ndie ufunguo wa mafanikio yao.
England, safari hii, itaingia bila mkongwe wao John Terry alietangaza kustaafu baada ya kuandamwa kwa kashfa ya ubaguzi na kuadhibiwa kwa hilo na pia huenda itamkosa mkongwe mwengine mwenzake Terry huko Chelsea, Frank Lampard, ambae ana maumivu ila steven Gerrad anategemea kurud kwenye mechi hii..
RATIBA KAMILI YA MECHI ZOTE HII HAPA
ULAYA-Mechi za Makundi Kombe la Dunia 2014
[Saa za Bongo]
Ijumaa Oktoba 12
18:00 Russia v Portugal
18:30 Finland v Georgia
19:00 Armenia v Italy
19:00 Faroe Islands v Sweden
19:00 Kazakhstan v Austria
20:00 Albania v Iceland
20:00 Czech Republic v Malta
20:30 Liechtenstein v Lithuania
20:30 Turkey v Romania
21:00 Belarus v Spain
21:00 Bulgaria v Denmark
21:00 Moldova v Ukraine
21:15 Slovakia v Latvia
21:30 Estonia v Hungary
21:30 Netherlands v Andorra
21:30 Serbia v Belgium
21:45 Greece v Bosnia-Hercegovina
21:45 Rep of Ireland v Germany
21:45 Wales v Scotland
22:00 England v San Marino
22:00 Luxembourg v Israel
22:30 Macedonia v Croatia
22:30 Switzerland v Norway
22:45 Slovenia v Cyprus
Jumanne Oktoba 16
Albania v Slovenia
Andorra v Estonia
Belarus v Georgia
Belgium v Scotland
Bosnia-Hercegovina v Lithuania
Czech Republic v Bulgaria
Hungary v Turkey
Iceland v Switzerland
Israel v Luxembourg
Latvia v Liechtenstein
Macedonia v Serbia
Portugal v Northern Ireland
Romania v Netherlands
Russia v Azerbaijan
San Marino v Moldova
Slovakia v Greece
Spain v France
Ukraine v Montenegro
2000 Cyprus v Norway
2100 Faroe Islands v Rep of Ireland
2130 Austria v Kazakhstan
2130 Croatia v Wales
2145 Germany v Sweden
2145 Italy v Denmark
2200 Poland v England
FAHAMU:

-ULAYA yapo Makundi 9
***Washindi 9 wa kila Kundi wataingia Fainali moja kwa moja na Washindi wa Pili 8 bora wenye rekodi nzuri dhidi ya Timu zilizomaliza nafasi za Kwanza, Tatu, Nne na Tano kwenye Kundi lao watapelekwa kwenye Droo kupanga Mechi 4 za Mchujo, zitakazochezwa nyumbani na ugenini, ili kupata Timu nne zitakazoingia Fainali.***

No comments:

Post a Comment